Vipo vingi vya kuviletea mazoea, lakini sio simba ndugu yangu, hata wataalamu wa masula ya wanyama wanasema nidhamu ni kitu muhimu unapokuwa ndani ya hifadhi.
Sasa watalii kadhaa waliona wanaweza kujiachia tu na kumchokoza simba kilichowakuta sidhani kama watarudia tena.
Nisiseme sana shuhudia simba wa jangwani alivyowavamia watalii hawa huko Namibia
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI