Baada ya mitandao mingi ya kijamii kuandika habari za kupotosha kuwa msanii Snura amekwenda kwa mganga mtandao huu wa Pamoja Blog umeongea na Menaja wake anayejulikana kwa jina la Hyperman HK na kusema habari zinazosema msanii Snura ameenda kwa mganga sio za kweli bali msanii Snura alikuwa anatengeneza movie itakayoitwa "Mlokole" katika movie hii kacheza na msanii Dotnata. Lakini imepokelewa kitofauti sana na kusababisha kuleta gumzo kwenye maeneo mbalimbali ya Tanzania. Na hizi hapa ni baadhi ya picha zinazoonesha utengenezwaji wa movie hiyo
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI