Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATANO JUNE 07, 2017

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUMO MPYA WA UHASIBU NA UTOAJI TAARIFA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI

Katibu Tawala mkoa wa Dodoma, Rehema Dendegu akifungua mafunzo ya siku mbili  ya mfumo mpya wa Uhasibu na Utoaji Taarifa za fedha kwa ngazi ya kituo cha kutolea huduma  ‘Facility Financial Accounting...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP Sirro afanya ziara Kibiti na Rufiji, Atangaza msako mkali

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro  jana alifanya mazungumzo na wazee pamoja na viongozi wa dini wilayani Kibiti mkoani Pwani ili kubaini waalifu wanaotekeleza mauaji ya watu wilayani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msajili wa Vyama Azungumzia Sakata la Maalim Seif Kufungua Ofisi Mpya za CUF

Kutokana na Chama cha Wananchi (CUF) kufungua ofisi mpya za chama hicho katika eneo la Mtaa wa Idrisa Kata ya Mzimuni, Magomeni wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Msajili wa Vyama vya Siasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JWTZ yatoa onyo kwa matapeli wa ajira

Jeshi la Wananchi (JWTZ) limetoa tahadhari kwa umma juu ya matapeli wanaowalaghai wananchi kwamba watawapa ajira katika jeshi hilo na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).Akitoa tahadhari hiyo, Mkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI TUMBE WASHIRIKI KUPANDA MIKOKO KATIKA BONDE LA PONDEANI

WANANCHI wa Tumbe, Kamati za mazingira na jumuiya ya Vijana Wa Tumbe na Viongozi wa Serikali wakipanda miti ya Mikoko katika bonde la Pondeani Tumbe, katika maadhimisho ya siku ya Mazingira...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI NA KAMATI YA BAJETI LEO...

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akiongoza kikao cha kamati ya Uongozi na kamati ya Bajeti leo Ofisini kwake Mjini Dodoma kulia kwake ni Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Najma Giga akiongoza kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 07, 2017. Naibu Waziri Wizara ya Ardhi,Nyumba na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanasheria Mkuu wa TBS kizimbani

Mwanasheria Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Baptister Marco (54) amepandishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka matatu ya kuishi na kufanya kazi nchini bila kuwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AMALIZA ZIARA MUSOMA MJINI LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akihutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye kiwanja cha Mukendo ikiwa ni siku ya mwisho ya ziara yake mkoani humo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI JUNE 08, 2017

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ndesamburo Amuibua Dr Slaa

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa amesema kuwa amesikitishwa sana na kifo cha Mzee Philemon Ndesamburo na kueleza jinsi walivyokijenga chama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bajeti Kuu ya Serikali Kusomwa Leo

Nchi  za Afrika Mashariki ikiwamo Tanzania zinawasilisha bajeti zao kwa mwaka wa fedha 2017/2018. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango anatarajiwa kuwasilisha bajeti hiyo bungeni leo mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali kuendelea kudhibiti matumizi ya fedha za umma yasiyo ya lazima

Benny Mwaipaja, WFM, DodomaSerikali kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina imeahidi kuendelea kusimamia na kufuatilia sheria na miongozo yote iliyotolewa ili kuhakikisha lengo la kudhibiti matumizi yasiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DEREVA TAKSI AFUNGWA MIAKA 45 KWA UNYANG'ANYI

Dereva taksi, Rashid Yusuph(23) amehukumiwa kifungo cha miaka 45 jela, baada ya kupatikana na hatia ya unyang'anyi wa kutumia nguvu.Yusuph ambaye ni mkazi wa Kimara Mbezi amehukumiwa kifungo hicho jana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MPANGO AWASILISHA TAARIFA YA HALI YA UCHUMI KATIKA MWAKA 2016 BUNGENI...

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasili katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma kwa ajili ya kuwasilisha Bungeni Hali ya Uchumi wa Taifa katika mwaka 2016.Waziri wa Fedha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BULEMBO AFUNGA KAZI WILAYA YA MISENYI NA BUKOBA MJINI MKOANI KAGERA

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Alhaj Abdallah Bulembo akiwasili ukumbini kuendesha kikao cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Misenyi, Mabalozi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mechi ya Taifa Stars vs Lesotho kupigwa Chamazi

Mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za mataifa nchini Cameroon 2019, kati ya Taifa Stars dhidi ya Lesotho uliokua uchezwe jumamosi saa 2 usiku Uwanja Taifa, umehamishiwa uwanjawa Azam Complex...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASALIMIANA NA MABALOZI WA UINGEREZA NA MAREKANI...

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini, Mheshimiwa Inmi Patterson kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma  Juni 8, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SEIF ASHIRIKI MAZIKO YA MZEE KHAMIS JUMA MKADARA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wa Tatu kutoka Kulia akijumuika pamoja na Viongozi na Wananchi katika kumsalia Mwanasiasa Mkongwe wa Kisiwani Pemba Mzee Khamis Juma Mkadara...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>