Rais Dk.Shein azungumza na Wauguzi na Wakunga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Baadhi ya...
View ArticleUpdates: Mwenyekiti wa kijiji atekwa Ikwiriri, mwingine aokotwa mtoni...
Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Kati, Ikwiriri, Athuman Mtoteka anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake.Mwenyekiti huyo ambaye anawakilisha chama cha Wananchi CUF, anadaiwa...
View ArticleSPIKA NDUGAI APATA UGENI WA BALOZI WA MOROCCO NCHINI TANZANIA PAMOJA NA...
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Balozi wa Morocco nchini Tanzania, Mheshimiwa Abdelilah Benryane (kushoto) pale alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Spika wa...
View ArticleYALITOJIRI LEO BUNGENI WAKATI WA UWASILISHWAJI WA BAJETI KUU YA SERIKALI KWA...
Waziri wa Fedha na Mpango Mhe.Dr.Philip Mpango akiwaonyesha waandishi wa Habari mkoba wenye hotuba ya bajeti ya Serikali kwa mwaka 2017/2018 leo Bungeni Mjini Dodoma tarehe 8th June 2018. Waziri wa...
View ArticlePSPF YASAJILI WANAFUNZI ZAIDI YA 250 WA VYUO VIKUU JIJINI DAR ES SALAAM,...
Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF mkoa wa Dar es Salaam, Bi. Neema Lowassa,(wapili kulia), na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko huo, Bw. Abdul Njaidi wakiwa katika picha ya pamoja na...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA JUNE 09, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleMAKAMU WA RAIS, MHE. SAMIA SULUHU AZINDUA MASHINDANO YA COPA UMISSETA KITAIFA...
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akiwa ameshika mpira ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mashindano ya Copa UMISSETA yanayoendelea mkoani Mwanza.Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja wa CCM Kirumba...
View ArticleTGNP YAWAKUTANISHA WADAU MBALIMBALI KUJADILI MAPENDEKEZO YA BAJETI YA MWAKA...
TGNP Mtandao imewakutanisha wadau mbalimbali kutazama nakutoa maoni yao ya bajeti iliyowasilishwa na waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango alipowasilisha Bungeni mapendekezo ya Serikali kuhusu...
View ArticleWaziri Nchemba Ataja Sababu Zinazowafanya CHADEMA Wapigwe Marufuku Kufanya...
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa alihoji bungeni sababu za wanafunzi wa CCM kupendelewa kufanya mikutano na sherehe za kumaliza masomo yao huku wanafunzi wa vyama vingine vya upinzani...
View ArticleDC MUHEZA AFUTURISHA WAKAZI WA WILAYA HIYO
Wageni wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza, Mhandisi Hajat Mwanasha Tumbo. Wageni wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza, Mhandisi Hajat Mwanasha Tumbo...
View ArticleSERIKALI YAOKOA SH. BILIONI 53.9 - WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Semina ya Mtandao wa Wabunge Africa Tawi la Tanzania walio katika Mapambano Dhidi ya Rushwa (APNAC) Kushoto kwa Waziri Mkuu ni...
View ArticleSPIKA NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI MDOGO WA MAREKANI NCHINI TANZANIA LEO...
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi mdogo wa Marekani nchini Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Inmi Patterson, pale alipomtembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma. Spika wa...
View ArticleMAHAKAMA YAMHUKUMU MFANYABIASHARA 'PEDESHEE NDAMA' MIAKA 5 JELA AU FAINI YA...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu kulipa faini ya Sh200 milioni mfanyabiashara, Ndama Shabani Hussein maarufu kama Pedeshee Ndama mtoto ya Ng’ombe baada ya kulikubali na kutiwa hatiani katika...
View ArticleTAMISEMI : FFARS NI KIGINGI CHA WANASIASA KUZILALAMIKIA HALMASHAURI ZA WILAYA
Imeelezwa kuwa mfumo mpya wa uhasibu na utoaji taarifa za fedha kwa ngazi ya kituo cha kutolea huduma ‘Facility Financial Accounting and Reporting System – FFARS) utasaidia kuondoa malalamiko kwa...
View ArticleBREAKING NEWS: ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi) George Simbachawene ametoa idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano na vyuo vya ufundi kwa mwaka 2017 huku jumla ya wanafunzi...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JUNE 10, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleJELA MIAKA 23 KWA KUIBA CHETI KIDATO CHA NNE
Mahakama ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi imemhukumu kwenda jela miaka 23 mkazi wa kijiji cha Kalovye, Osward Mpalasinge (26).Amepewa adhabu hiyo baada ya kupatikana na hatia ya kuvunja na kuiba vitu...
View ArticleSHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) IMETOA GAWIWO LA SHILINGI BILIONI 1.7 KWA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Bw. Sam Kamanga, akizungumza jambo wakati wa tukio la Shirika hilo kukabidhi gawiwo kwa Serikali, kiasi cha Sh. Bil. 1.7, Makao Makuu ya Wizara ya...
View ArticleDK. SHEIN ATOA MSAADA KWA WANANCHI WA PEMBA WANAOISHI KWENYE MAZINGIRA...
MAGODORO 80 yaliotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Zanzibar, dk Ali Mohamed Shein, yakiwa kwenye uwanja wa jengo la Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba, kabla ya kugawiwa kwa...
View ArticleBreaking news: Waziri Mkuu Majaliwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa EWURA
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Felix Ngamlagosi Leo usiku wa saa saba kuamkia tarehe 11 June 2017 imetoka taarifa kutoka IKULU Dar es salaam ikiwa...
View Article