Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

MWILI WA MCHORAJI WA NEMBO YA TAIFA WAAGWA LEO

$
0
0
Picha ya marehemu Francis Maige Ngosha Kinyasu wakati akiwa Hospitali akipata matibabu katika hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kifo chake. Mzee Kanyasu alifariki Mei 29 katika hospitali ya Muhimbilia wakati madaktari wakijaribu kuokoa maisha yake na mwili wake umesafirishwa leo kwenda kijijini kwake Igokero Misungwi mkoani Mwanza ambapo mazishi yatafanyika siku Jumatatu. (Picha na Francis Dande).
 Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza (kulia), akibadilishana mawazo na Daktari Bingwa wa magonjwa ya dharura, Dk. Juma Mfinaga (kushoto), pamoja na waombolezaji wengine wakati wa kuaga mwili wa mbunifu na mchoraji wa nembo ya taifa, marehemu, Francis Ngosha.
 Waombolezaji.
 Daktari Bingwa wa magonjwa ya dharura, Juma Mfinaga, akizungumza katika ibada fupi ya kuga mwili wa mbunifu na mchoraji wa nembo ya taifa marehemu, Francis Ngosha.
 Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi Tanzania (TAFCA), Adrian Mnyangale  akitoa salama za rambirambi.
 Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza, akitoa salama za rambirambi kwa niaba ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Marcel Katemba, akitoa salama za rambirambi. 
 Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Ngosha.
 Mwili ukitayarishwa kwa ajili ya kunza kuaga.
 Waombolezaji wakiaga mwili.
Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi Tanzania, Adrian Mnyangale 
 Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Marcel Katemba, akitoa heshima za mwisho. 
Kutoa heshima za mwisho. 
Eric Shigongo akitoa heshima za mwisho. 
Baadhi ya waandishi wa habari wakitoa heshima za mwisho.  
 Kwa heri Ngosha........ 
 Kutoa heshima za mwisho.
Safari ya mwisho. 
Mwili kuondoka. 


 Moja ya kazi za marehemu Ngosha.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>