UPDATES:MBUNGE WA CHADEMA AKAMATWA NA JESHI LA POLISI IRINGA AKITUHUMIWA...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Bi.Jesca Msavatavangu akizungumza na wanahabari jioni ya leo mara baada ya tukio hilo la kukamatwa kwa Mbunge wa CHADEMA akigawa fedha kwa wanakijiji siku moja kabla...
View ArticleZOEZI LA KUAPISHWA WABUNGE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA MPYA LAENDELEA VYEMA...
Mhe. Mchungaji Christopher Mtikila, akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya mjini Dodoma leo katika zoezi linaloendelea vyema .Mhe. Emmanueli Makaidi akiapa kuwa mbunge wa Bunge...
View ArticleUTAFITI: WANAWAKE WANAOCHELEWA KUZAA WANAPATA MATATIZO KIAFYA
Wanawake wanaochelewa kuzaa wanakabiliwa na tisho la kupata matatizo ya afya ya uzazi. Huu sio utafititi tu balo maoni ya daktari mmoja mkuu mjini Nairobi Kenya.Athari za kuchelewa huko ni pamoja na...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI MARCH 16, 2014
Ndugu msomaji wetu unaweza kutudhamini kwa kuweka tangazo lako kwenye blog hii ili tuendelee kukuabarisha habari mbalimbali hasa kwa hii ya vichwa vya magazeti au unaweza kutudhamini kwenye magazeti...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA JUMAMOSI...
ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleNANI KUWA MBUNGE WA KALENGA LEO?
Wananchi wakiwa wamembeba kwa furaha mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAPILI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleNENO LA LEO MTAANI KWETU
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWAJUMBE WA BUNGE MAALUM WAHITIMISHA ZOEZI LA KUAPA KWENYE BUNGE LA KATIBA
Mwenyekiti wa i wa Bunge maalum, Mhe.Samwel Sitt akiahirisha bunge hadi Jumatatu mara baada ya zoezi la kuwaapisha wabunge. Wajumbe ambao hawajaapishwa ni wale waliopo nje ya mkoa wa Dodoma kwa...
View ArticleUPDATES: UPIGAJI KURA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA WAENDELEA KWA UTULIVU...
Baadhi ya Wanakijiji cha Kalenga A,kata ya Kalenga Iringa Vijijini mkoani Iringa wakiwa wamejitokeza mapema leo asubuhi kupiga kura kumchagua Mbunge wamtakae wa jimbo hilo la Kalenga.Uchaguzi Mdogo wa...
View ArticleWACHEZAJI WA YANGA WAPATA AJALI ENEO LA MIKESE WAKITOKEA MOROGORO
Bus la timu ya Young Africans lililokuwa limebeba wachezaji pamoja na viongozi wa benchi la ufundi limepata ajali eneo na Mikese Mizani baada ya Mabus yaliyokua yakitanua kuelekea mikoa ya bara kuziba...
View ArticleNYUMBA ZA JESHI LA POLISI ZA ZIKITEKETEA KWA MOTO MKOANI TANGA
Jana mchana nyumba za Askari wa jeshi la polisi zilizopo eneo la chumbageni nyuma ya kituo cha polisi kikuu cha chumbani jijini Tanga zaungua moto.ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINIMkuu...
View ArticleBREAKING NEWS:TAZAMA HAPA MATOKEO YA AWALI YASIYO RASMI KUTOKA VITUO...
TOSA no.1 CCM 98 ,Chadema 20, CHAUSTA 0Ipamba no2. CCM 104, Chadema 10,CHAUSTA 0Isakulilo CCM 83,Chadema 8,CHAUSTA 0Kilindi A CCM 69 ,Chadema 23, CHAUSTA 0Ofisi ya Kijiji(Kilindi) CCM 117, Chadema 53,...
View ArticleMPYAAA: TAZAMA HAPA AJIRA ZA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI ,...
15/03/2014 - AJIRA MPYA YA WAALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14 Tangazo Walimu Wa Cheti (Daraja IIIA) Kwa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU MARCH 17, 2014
Ndugu msomaji wetu unaweza kutudhamini kwa kuweka tangazo lako kwenye blog hii ili tuendelee kukuabarisha habari mbalimbali hasa kwa hii ya vichwa vya magazeti au unaweza kutudhamini kwenye magazeti...
View ArticleTAZAMA HAPA ATOKEO YA MECHI ZA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA PAMOJA NA MSIMAMO...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMUHIMU SANA: TAARIFA KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA 2014 YA KUJIUNGA NA...
Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014 na kidato cha nne mwaka 2013.Ili kutekeleza azma hii tumeweka fomu kwenye tovuti ambayo...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO KAMILI YA UCHAGUZI MDOGO WA KALENGA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleNDOTO ZA BANDARI MPYA YA MBEGANI YAKAMILIKA
Meneja Miradi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, Bw. Alexander Ndibalema (Kulia aliyesimama) akizungumza katika kikao cha pamoja kati ya Timu yaUkaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume...
View ArticleUJUZI WAKO NI UPI? IKITOKEA UMEPOTEZA KAZI ULIYONAYO, NINI UNAWEZA KUFANYA?
Je wewe ndo unayestahili kuwa kwenye nafasi hiyo? Kitu gani ulichonacho kinakufanya uonekane wa kipekee kwenye kazi yako? Je tokea umechukua nafasi hiyo jambo gani unajivunia wewe binafsi au unahisi...
View Article