Mwenyekiti wa i wa Bunge maalum, Mhe.Samwel Sitt akiahirisha bunge hadi Jumatatu mara baada ya zoezi la kuwaapisha wabunge. Wajumbe ambao hawajaapishwa ni wale waliopo nje ya mkoa wa Dodoma kwa udhuru, na wataapishwa wiki ijayo.
Wajumbe wa Bunge maalum Mhe,Anne Kilango Malecela (shoto) akijadiliana jambo na Mhe.Beatrice Shelukindo wakati wa zoezi la kuapisha wabunge.
Waheshimiwa, Zakhia Meghji, Zarina Shamte Madabida na Zaynabu Matitu Vullu wakisubiri zamu yao ya kuapishwa wakiwa ni wajumbe wa mwishoni kuapa kwa kufuata utaratibu wa alfabeti za majina yao ya kwanza yanayoanza na "Z".
Wajumbe wa Bunge maalum la katiba wakishuhudia wenzao wakiapa
Wajumbe wa Bunge maalum la katiba wakishuhudia wenzao wakiapa
Wajumbe wa Bunge maalum la katiba wakishuhudia wenzao wakila kiapo. Picha na Deusdedit Moshi, Dodoma