Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

ZOEZI LA KUAPISHWA WABUNGE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA MPYA LAENDELEA VYEMA MJINI DODOMA

$
0
0


 Mhe. Mchungaji Christopher Mtikila, akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya mjini Dodoma leo katika zoezi linaloendelea vyema .
Mhe. Emmanueli Makaidi akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya

 ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Mhe Tundu Lisu akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya
Mhe Mkosamali  akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya.
Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Dodoma

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>