Wananchi wakiwa wamembeba kwa furaha mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na kuhudhuria ma maelfu ya wananchi, kwenye Uwanja wa Mnada, Kijiji cha Kidamali, Kata ya Nzihi. (Picha na Bashir Nkoromo)
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiongozana na mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama hicho, Grace Tendega baada ya mkutano wa mwisho wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Ifunda.
(Picha na Joseph Senga)