Bw. Harusi,Zuberi Senzota Msemo Na Bi.harusi Khadija Khamis Lyoba wakiyarudi magoma wakati walipokuwa wakiingia ukumbini katika tafrija maalum ya kuwapongeza kwa kuungana kwao, iliyofanyika katika ukumbi wa Tausi uliopo Kiluvya mkoani Pwani.
Bw. Harusi,Zuberi Senzota Msemo na Bi.harusi Khadija Khamis Lyoba Wakiwa katika pozi
Bw. Harusi,Zuberi Senzota Msemo Na Bi.harusi Khadija Khamis Lyoba wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Picha zaidi bofya hapa
Picha zaidi bofya hapa