NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA, RODRICK MPOGOLO ZIARANI JIMBO LA ILALA, TEMEKE.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo, akizungumza na Wanachama, Viongozi wa CCM wa Jimbo la Ilala wakati akiwa katika ziara yake ya kuimarisha Chama Mkoa wa Dar es Salaam, jana.Baadhi ya...
View ArticleMaandalizi ya Mkutano wa 34 wa Dharula wa Baraza la Mawaziri la Afrika...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Aziz P. Mlima akizungumza kwenye kikao cha Wataalamu ngazi ya Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika...
View ArticlePICHA: Hospitali Marekani yafanikisha upasuaji mkubwa wa wanafunzi...
Watoto watatu wa shule ya msingi ya Lucky Vicent walionusurika katika ajali ya basi, wamefanyiwa upasuaji na sasa wapo wodini wakiendelea na mazoeazi, ila Doreen, jana alipewa MAPUMZIKO maalumu akiwa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA MAY 19, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleMkutano wa 34 wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki...
Waheshimiwa Mawaziri wa Tanzania waliohudhuria Mkutano wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Afrika Mashariki unapigwa kabla ya kuanza kwa Mkutano Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
View ArticleBALOZI WA TANZANIA KATIKA MUUNGANO WA VISIWA VYA KOMORO AWASILISHA HATI ZA...
Balozi wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya Komoro Mhe. Sylvester M. Mabumba (kulia) akiwasili katika Ikulu ya Komoro kwaajili ya hafla ya kuwasilisha Hati za Utambulisho, kushoto ni Mnikulu wa...
View ArticleMUHAS WATAKIWA KUWEKA MAKAZI YA KUDUMU OLOLOSOKWAN
Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimetakiwa kuhakikisha kwamba wanatumia vyema kijiji cha kidigitali cha Ololosokwan katika kuhakikisha kwamba taifa linakuwa na uwezo mkubwa...
View ArticleTIMU YA AZANIA YAKWEA PIPA KUELEKEA UINGEREZA
Timu ya Azania imeondoka nchini kuelekea Uingereza kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Standard Chartered Safari kwenda Anfield yatakayofanyika kwenye uwanja wa klabu ya Liverpool wa Anfield.Timu hiyo...
View ArticleTEA YAANZA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI PUGU.
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bibi. Graceana Shirima akiongea wakati wa hafla ya makabidhiano ya mkataba wa ukarabati wa shule ya Sekondari Pugu ya Jijini Dar es Salaam unaofanywa...
View ArticleCCM Wampa 'Makavu' Lowassa
Chama cha Mapinduzi mkoa wa Arusha kimeishangaa kauli ya aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa kusema kuwa Rais John Magufuli amemtuma ‘mtoto mdogo’ kwenda kuiwakilisha serikali kwenye mazishi ya...
View ArticleNAPE NNAUYE AFUNGUKA KUHUSU UKIMYA WA KINANA, MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE...
Na Regina Mkonde Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amefunguka kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo, ukimya wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, muenendo wa shughuli za Bunge pamoja na tukio...
View ArticleUpdate: Majeruhi wa Lucky Vicent wanaotibiwa Marekani, Mmoja atoka nje kwa...
Doreen mara baada ya upasuajiMajeruhi wa ajali ya basi la wanafunzi wa shule ya Lucky Vicent waliopelekwa kutibiwa nchini Marekani, inaripotiwa hali zao kuendelea vizuri huku mtoto mmoja kati yao,...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MAKATIBU MAHUSUSI MJINI DODOMA
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye mkutano wa mwaka wa 5  wa Chama cha Makatibu Mahususi Tanzania (TAPSEA) uliofanyika kwenye ukumbi wa...
View ArticleWajawazito wapewa onyo kula udongo wa Pemba
MGANGA Mfawidhi wa Hospitali ya Marc Rein mkoani Kigoma, Dk. Peter Mayengo amewashauri wajawazito kuacha kula udongo maarufu kwa jina la Pemba kwa kuwa ni hatari kwa afya zao.Akizungumza na MTANZANIA...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MAY 20, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleMKUTANO MKUU WA VIJANA KUFANYIKA ARUSHA KWA SIKU SABA
Mratibu wa Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Umoja wa Mataifa kwa Vijana Tanzania, Tajiel Urioh akizungumza na waandishi wa habari leo (hawapo pichani) kuzungumzia Mkutano Mkuu Kivuli wa kimataifa wa Umoja...
View ArticleMECHI ZOTE ZA MWISHO VPL KUANZA SAA 10.00 JIONI
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), tunafahamisha kuwa mechi za mwisho za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/2017 zitachezwa kuanzia saa 10.00 jioni bila kujali kama jua linawahi...
View ArticleBENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleWachimbaji wawili wafia ndani ya mgodi
Wachimbaji wawili wa madini katika kijiji cha Masuluti mkoani hapa, Haus Kaijage (32) mkazi wa Bukoba na James Mlawa(22) mkazi wa Magulilwa, Iringa wamefariki dunia baada ya kukosa hewa ndani ya...
View ArticleVIDEO: POLISI WAUA MAJAMBAZI JIJINI MWANZA.
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limepambana na watu wanaosadikika kuwa ni majambazi ambapo katika mapambano hayo, wapo waliouawa.Tazama video hapo chiniPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike...
View Article