Mkurugenzi wa Idara ya Siasa, Ulinzi na Usalama, Bw. Stephen Mbundi akitoa mada kwenye semina ya mtangamano wa Jumuiya ya afrika Mashariki kisiwani Pemba ambapo alielezea namna Jumuiya hiyo ilivyoanzishwa, faida, fursa na changamoto mbalimbali zinazopatikana kwenye mtangamano wa Afrika Mashariki.Bwa. Mbundi akiendelea kuelezea mada yake
Bw. Othman Bakar Shehe akiuliza swali mara baada ya Bw. Mbundi (hayupo pichani) kumaliza kuwasilisha mada yake.
Sehemu ya wajumbe na wajasiriamali wakisikiliza kwa makini majibu yaliyokuwa yakitolewa na Bw. Mbundi.