Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji akifafanua jambo katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Prof Sospeter Muhongo akizungumza jambo na Naibu Waziri wake Mhe.Dk. Medard kalemani katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Zaynab Vullu akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mbunge wa Mtama Mhe.Nape Nnauye katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Mbunge wa Kuteuliwa Mhe.Abdallah Bulembo akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.George Simbachawene akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angellah Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angellah Kairuki leo katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akimskiliza Mbunge wa Mwibara Mhe.Kangi Lugora katika viwanja vya Bunge leo Mjini Dodoma.Wengine Pichani ni Mbunge wa Mtama Mhe.Nnape Nnauye
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akifafanua jambo katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akizungumza jambo na Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe.Dk Hussein Mwinyi,Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne Magembe katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mhe.Mary Mwanjelwa akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017
Mbunge wa Sikonge(CCM) Mhe.Joseph Kakunda akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akisoma Hotuba ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 leo katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA