MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKUNGA DUNIANI YAADHIMISHWA ZANZIBAR
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Mohmoud Thabit Kombo akipokea maandamano ya Wakunga na Wauguzi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani yaliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.Waziri...
View ArticleWAZIRI MKUU MH. MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA ROTARY CLUB ARUSHA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akivishwa beji ya uanachama wa Rotary Club na Dk. Manoj Desai kwenye mkutano wa 92 wa mwaka unaojumuisha nchi za Uganda na Tanzania (District 9211) katika ukumbi wa AICC...
View ArticleUWANJA WA NDEGE DODOMA KUFANYA KAZI SAA 24
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kushoto), akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara, Sekta ya Uchukuzi Dkt. Leonard Chamuriho (kulia), mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa...
View ArticleWAZIRI MWIGULU AWATAKA WASAIDIZI WAKE KUSIMAMIA HAKI ZA WAFANYAKAZI, PAMOJA...
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya (wapili kushoto), Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP), Dk. Juma...
View ArticleBunge lafuta maneno kwenye hotuba ya Sugu kabla ya kusomwa
Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Zungu ameagiza Hotuba ya Kambi ya Upinzani kuhusu Bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ihaririwe na kufuta maneno yote katika kurasa 17.Zungu ametoa uamuzi...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA BARABARA YA TENGERU-SAKINA, ARUSHA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa maelekezo Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Arusha, Eng. Mgeni Mwanga juu ya upandaji nyasi kwenye eneo la katikati ya barabara wakati akikagua ujenzi wa barabara ya...
View ArticleMAMA SAMIA AWATAKA WAKUNGA KUFANYA KAZI KWA BIDII
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye kilele cha siku ya Wakunga Duniani ambapo Kitaifa imefanyika mjini Dodoma. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleWAZIRI MAHIGA AFUNGUA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA 69 YA UHURU WA ISRAELI, DODOMA.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akizungumza kwenye hafla ya maadhimisho ya miaka 69 ya uhuru wa Taifa la Israel iliyofanyika kwenye Hoteli Morena Mjini Dodoma Meza Kuu wakiwa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MAY 06, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleUPDATES: WANAFUNZI 31 NA WALIMU WAO WADAIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA...
Kamanda wa Polisi, mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amesema wanafunzi 31 na walimu wao wamefariki katika ajali iliyotokea wilayani Karatu, ulipo mto Mlera.Mkumbo amesema wanafunzi waliopoteza maisha...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano wa Baraza la kumi la Biashara Tanzania, katika Ukumbi wa...
View ArticleMan City marufuku kusajili miaka miwili
Klabu ya soka ya nchini Uingereza, Manchester City, imefungiwa kusajili na bodi ya ligi ya nchini hiyo vijana wadogo walio na umri wa chini ya miaka 18 sambamba na kutozwa faini ya Paundi 300,000 kwa...
View ArticleDkt Mwakyembe - Asimia 90 ya watangazaji si wanataaluma
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harisson Mwakyembe amesema, asilimia 90 ya watangazaji wamebainika kutokuwa na sifa za kitaalamu za uandishi wa habari na utangazaji.Hayo yamezungumzwa...
View ArticleSteve Nyerere – Kuna wasanii wanajifanya ‘Mungu watu’
Msanii wa filamu, Steve Nyerere, amedai wasanii wa filamu wanashindwa kufanikiwa kutokana na kukosa ushirikiano huku akidai kuna baadhi yao wanajifanya wao ni mungu watu.Muigizaji huyo amedai hakuna...
View ArticleKANUNI UENDESHAJI MITANDAO YA KIJAMII KUKAMILIKA MAPEMA - DK. MWAKYEMBE
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akizungumza kwenye kongamano la maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2017 linalofanyika jijini Mwanza juzi.Waziri wa...
View ArticleLowassa, Maalim wajadili migogoro ya CUF
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amekutana na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif katika ofisi ya Lowassa iliyopo Mikocheni jijini hapa leo mchana.Katika mkutano huo Lowassa na Maalim...
View ArticleDR. NTUYABALIWE FOUNDATION YAHIMIZA WANAFUNZI KUSOMA VITABU
Wananafunzi wa Shule za Msingi jijini Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla, wametakiwa kujenga utamaduni wa kupenda kusoma vitabu vikiwemo vya kiada na ziada, ili waweze kupanua wigo wa uelewa wa mambo...
View ArticleOTOSIM 2017 BY MAKEKE NI MOTO WA KUOTEA MBALI
Unapomuongelea MAKEKE si jina geni kwenye Tathnia ya mitindo Tanzania na Afrika kwa ujumla, Mwaka Jana alikuja na collection ya aina yake iliyoitwa TABID - The African Beauty in The darkness, ( uzuri...
View ArticleLOWASSA AWALILIA WANAFUNZI WALIOFARIKI KATIKA AJALI, MAITI 32 ZAPELEKWA...
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa ametuma salamu za rambi rambi kutokana na tukio la watu 32 kufariki dunia katika ajali ya basi.Waliofariki katika ajali hiyo iliyotokea leo asubuhi Karatu, ni...
View ArticleTazama nyimbo mpya ya Snura ft Yamoto band "Nionee wivu"
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View Article