$ 0 0 STAILI mpya ya uporaji pikipiki imeanza kuutikisa mkoa wa Kilimanjaro, ambapo watu wasiojulikana hutumia usafiri wa magari kusimamisha madereva wa vyombo hivyo barabarani na kisha kupora na kutokomea.