Bomu la kutupwa kwa mkono likiwa limechimbiwa chini katika makutano ya barabara ya Morogoro na Shekilango jijini Dar es Salaam jana.
Watu wakishangaa katika eneo la tukio.
Polisi wakichimbua chini kutoa bomu lililokuwa limefukiwa chini.
Polisi wakiweka uzio leo katika makutano ya Barabara ya Morogoro na Shekilango jijini Dar es Salaam, baada ya kugundulika kuwepo kwa bomu katika eneo hilo.