Shughuli za uokozi zikiendelea muda mfupi uliopita
Basi la kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es Salaam leo kuelekea Tabora limepinduka katika maeneo ya maeneo ya Kiegeya Gairo. Haijulikani idadi kamili ya watu waliopoteza maisha lakini ni wengi na wengine wamejeruhiwa vibaya sana.
“Picha hazifai kuona na mimi niko eneo la tukio kwa ajili ya uokozi. Viongozi mbali mbali wa serikali tunao hapa..kwakweli ni majonzi vilio nk,” ameandika shuhudu mmoja.
Baadhi ya mili ya watu waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo