Wauguzi Theresia Haule (kulia) na Honoratha Mlunde wakiwekana sawa mavazi maalumu tayari kutoa huduma katika wodi maalumu iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam jana Septemba 9, 2014 ambako Rais Jakaya Mrisho Kikwete alitembelea
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wauguzi waliovalia mavazi maalumu tayari kutoa huduma kwa abiria atayekutwa na ugonjwa wa ebola mara atapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea Dodoma.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo wakati alipokagua wodi maalumu iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam jana Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea Dodoma.