Ton Dougue(katikati) akicheza wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Dance yaliyoandaliwa na UDO(United Dance Orgarnisation) yaliyofanyika kwenye club ya Maisha Club ya jijini Dar.
Mc wa mashindano ya Dance, Jillah "The Boss" akifanya ya kwake kwenye stage ya Maisha Club ya jijini Dar.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFY HAPA CHINI
Chief Jaji Idrisa akizungumza jambo kwenye mashindano ya Street Dance Champion yaliyofanyika kwenye Club ya Maisha jiji Dar, Kulia ni Jaji Joan
Jaji Joan akizungumza jambo kwenye mashindano hayo
Picha za juu zinaonesha baadi ya makundi yaliyoshiriki kwenye mashindano ya Streen Dar
Gilla(aliyeshika Mike) akiwa na baadhi washiriki la Street Dance Champions.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Buibui akiwapagawisha mashabiki wake kwenye mashindano ya Dance yaliyoandaliwa na UDO(United Dance Orgarnisation) yaliyofanyika kwenye club ya Maisha Club ya jijini Dar.