Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

PICHA: YALIYOJIRI JANA KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

$
0
0
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongeza Bunge hilo jana tarehe  5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fatma Hamid Saleh akiwasilisha taarifa ya kamati yake kwenye Bunge hilo jana tarehe 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.


ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI


Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba nao wakiwasilisha taarifa za kamati zao kwenye Bunge hilo jana tarehe 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa toka kamati mbalimbali Bungeni humo jana tarehe 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wengine wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa toka kamati mbalimbali Bungeni mjini Dodoma.
Mhe. Anna Abdallah akiteta jambo na mjumbe mwenzake Bungeni jana tarehe 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Baadhi ya Masista wa Kikristo (wawili toka kulia) kama wageni waliohudhuria Bunge Maalum la Katiba kusikiliza mchakato wa uwasilishwaji wa taarifa za kamati mbalimbali jana tarehe 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Baadhi ya Masheikh kama wageni waliopata kuhudhuria Bunge Maalum la Katiba kusikiliza mchakato wa uwasilishwaji wa taarifa za kamati mbalimbali jana tarehe 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wanafunzi toka shule ya Sekondari ya Loyola iliyopo Dar es Salaam na Shule ya Chilonwa iliyopo Dodoma wakiwa ndani ya Bunge Maalum la Katiba huku wakisikiliza jinsi ya uwasilishwaji wa taarifa za kamati mbalimbali jana tarehe 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakibadilishana mawazo mara baada ya kuhairishwa kwa Bunge hilo jana tarehe 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma. (Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>