Kiongozi na mwimbaji wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu (katikati) akiimba pamoja na waimbaji wake kwenye shoo iliyofanyika kwenye club ya maisha jijini Dar
Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Salehe Kupaza akiimba kwa hisia kubwa kwa mashabiki wao waliofika kutizama shoo yao ya nguvu kulia ni Kiongozi na mwimbaji wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Haji Ramadhani(wa kwanza kulia) akiimba pamoja na waimbaji wenzake wa Twanga Pepeta kwenye club ya Maisha jijini Dar
Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Kalala Junior (aliyeshika mike) akiendelea kuwaburudisha mashabiki wao kwenye ukumbi wa maisha jijini Dar
Wacheza shoo wa Twanga Pepeta wakifanya ya kwao kwenye club ya Maisha jijini Dar.