$ 0 0 Msanii wa filamu nchini Tanzania, Salma Jabu kwa jina la usanii anaitwa "Nisha" leo ametimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa. Mungu akulinde na akusimamie kwenye maisha yako.