Haji Ramadhani(wa kwanza Kushoto) akicheza na Luiza Mbutu (katikati) pamoja na mwimbaji mwingine kwenye club ya Maisha ya jijini Dar.
Waimbaji na wanenguaji wa Twanga Pepeta wakiwapagawisha mashabiki wao ndani ya Maisha Club ya jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Kalala Junior(wa kwanza kulia) akiwaburudisha mashabiki wake
Luiza Mbutu akitoa burudani kwa mashabiki wao waliofika kwenye club ya maisha kutizama show yao
Haji Ramadhani akitoa burudani
Ilikuwa ni mwendo wa viuno
Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakitoa burudani ndani ya Maisha Club usiku wa kuamkia leo Ijumaa
Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka(kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwimbaji wa Twanga Pepeta Luiza Mbutu