$ 0 0 Bendi maarufu ya muziki wadansi barai ulaya Ngoma Africa Band aka "FFU Ughaibuni" yenye makao yake nchini Ujerumani, Inawapa mkono wa IDD el Fitrwadau wote wa ndani na nje ya Tanzania.Sherehekeeni sikuu ya EID MUBARAKA kwa amani na furaha