Bendela ya Umoja wa Mataifa ikiwa nusu mlingoti makao makuu huko New York nchini Marekani kwa ajili ya kuomboleza kifo cha rais wa zamani wa Afrika ya Kusini alyefariki Desember 05, 2013
Bendela ya Ufarasa ikiwa nusu mlingoti kwa ajili ya kuomboleza kifo cha Mzee Nelson Mandela
Viongozi waliokuwa kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa walisimama na kukaa kimya kwa takribani dakika moja kwa ajili ya kumwombea mzee Nelson Mandela aliyefariki Desember 05, 2013
Bendela ya Uingereza ikiwa nusu mlingoti kwa ajili ya kuomboleza kifo cha marehemu Nelson Mandela
Bendela ya Norway ikiwa inawekwa nusu mlingoti kwa ajili ya kuombolezwa kwa kifo cha Rais wa zamani wa Afrka ya Kusini Mzee Nelson Mwandela
ENDELEA KUTIZAMA MATUKIO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Bendela ya Afika ya kusini ikiwa nusu mlingoti kwenye ubalozi wake nchini Uingereza
Wananchi wa Karachi nchini Pakstan wakiwa wamewasha mishumaa na kuizungusha kwenye picha ya Mzee Nelson Mandela baada ya kutangazwa kwa kifo chake.
Askali wa China akiwa kasimama kwenye ubalozi wa Afrka ya Kusini kwenye mji mkuu Beijing nchini China
PICHA ZOTE NA YAHOO