Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABU SEYA NA PAPII KOCHA WASHINDWA RUFAA, KUENDELEA NA KIFUNGO CHA MAISHA JELA

Muimbaji mkongwe nchini Nguza Viking aka Babu Seya na mwanaye Papii Kocha, wataendelea na kifungo cha maisha jela baada ya mahakama ya rufani nchini kuitupilia mbali rufaa yao iliyosikilizwa leo.Babu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FORBES WATOA ORODHA YA WANAMUZIKI WALIOINGIZA PESA NYINGI ZAIDI 2013, MADONNA...

Jarida la Forbes limetoa orodha mpya ya wanamuziki walioingiza pesa nyingi zaidi kwa miezi 12 iliyopita, na Madonna ndiye amekamata nafasi ya kwanza.Kwa mujibu wa jarida hilo, Madonna mwenye miaka 55...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTAFITI: POLISI MMOJA HULINDA WATANZANIA 1, 700

 Jeshi la Polisi nchini bado linakabiliwa na changamoto ya askari polisi kwa ajili ya kulinda usalama wa Watanzania na mali zao.Akizungumza kwenye maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika, yaliyofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHIRIKI WA TANZANIA KWENYE KONGANO LA TEHAMA LA DUNIA LA SHIRIKA LA...

Katibu Mkuu wa ITU ambalo ni Shirika la Umoja wa Mataifa linalosimamia Mawasiliano Duniani Dr. Hamadoun Toure akisikiliza Maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Prof. John Nkoma. Kulia ni Waziri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO WAFUNGUKA KUHUSU TATIZO LA NGUZO KUANGUKA ENEO LA BAMAGA,BARABARA YA...

 Mafundi wa Tanesco wakiwa kazini Kufuatia tatizo la kugongwa na kuanguka kwa nguzo za msongo mkubwa zaidi ya tano katika Barabara ya Bagamoyo, Afisa Uhusiano wa Tanesco, Badra Masoud amefunguka na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI APIGA MARUFUKU MAGARI YA SERIKALI GEREJI BINAFSI

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amepiga marufuku magari ya serikali kutengenezwa kwenye gereji binafsi na badala yake Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa) afanye kazi hiyo.Kadhalika, Waziri Magufuli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI KWENYE HUKUMU YA BABU SEYA, VILIO VYATAWALA MAHAKAMANI

Babu Seya (katikati) na mwanae Papii Kocha wakati wakiingia mahakamani mapema leo wakiwa na nyuso za huzuni.Mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha'.Ndugu na jamaa wakiangua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: ZITTO NA KITILA WAVULIWA VYEO VYOTE NDANI YA CHAMA

Kikao cha Kamati Kuu ndiyo kimeisha muda huu, na taarifa zilizopo ni kwamba kambi ya PM7 imevunjwa rasmi baada ya viongozi wake kuvuliwa vyeo vyote walivyo navyo ndani ya chama.Waliovuliwa vyeo ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA NOVEMBER 22, 2013

 ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PETER MSECHU AUDISS WIMBO MPYA WA NAY WA MITEGO (NAKULA UJANA), “UTAIMBA HADI...

Juzi (Nov 20) Nay wa Mitego ametoa wimbo wake mpya unaoitwa ‘Nakula Ujana, ni wimbo ambao uko tofauti na nyimbo za Nay kutokana na mahadhi yake. Peter MsechuMsanii Peter Msechu ameonekana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKONGWE ALIVYOUAWA NA KUCHUNWA NGOZI MOROGORO

 Familia iliyohusika kumsaka kikongwe Helena Petri siku aliyopotea.Picha na Juma Mtanda  Morogoro. Tukio la kifo cha kikongwe, Hellan Petri Mahunzila (75) ambaye alipotea katika mazingira ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA HAPA ALICHOKIANDIKA DJ CHOKA KUHUSU BLOG YAKE TOKA 2009

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIPANYA HAKOSI LA KUSEMA LEO

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOMPYUTA YA MAREHEMU DKT. MVUNGI YAJULIKANA ILIKO

 JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemtaja mkazi wa Vingunguti, kuwa ndiye aliye na kompyuta mpakato ya aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, marehemu Dk Sengondo Mvungi....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA LEO: HIVI KUNASABABU YA KULIPIA KILA UNAPOTUPA TAKA AU NI MIRADI YA...

Kiukweli bado sijapata jibu la msingi kuhusu suala la kutupa taka kwenye hivi vifaa maalum vya kutunzia uchafu nabaki nikijiuliza maswali mengi hivi hakuna bajeti inayotengwa manispaa kwa ajili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA JWTZ

          Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), linapenda kukanusha taarifa zilizoandikwa kwenye Gazeti la ‘The Citizen’ la tarehe 20 Novemba 2013 toleo Nambari 2980 lililochapishwa kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE HII INAFAA KUNUSURU TEMBO WETU AU?

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA PICHA ZA MKUTANO WA P-SQUARE NA WAANDISHI WA HABARI ULIOFANYIKA...

Peter Okoye akiongea na waandishi wa habariKundi la P-Square la nchini Nigeria ambalo huundwa na mapacha Peter na Paul Okoye, leo limekutana na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano uliopo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEO NI MIAKA 50 TANGU KUUAWA J. F. KENNEDY

Marekani leo inaadhimisha miaka 50 tangu kuuawa kwa kupigwa rais wa 35 wa nchi hiyo, John F. Kennedy, mjini Dallas tarehe 22 Novemba mwaka 1963 akiwa na umri wa miaka 46, na hivyo kuuzima mshumaa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES:MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA AJIUZULU RASMI!

Napenda kuwasilisha kwako taarifa ya kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bara kuanzia Leo Ijumaa 22 Novemba 2013 kwa kuchoshwa na Unafiki unaoendelea ndani ya Chama. Napenda ifahamike pia kwangu...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>