Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

PETER MSECHU AUDISS WIMBO MPYA WA NAY WA MITEGO (NAKULA UJANA), “UTAIMBA HADI BOLINGO MWAKA HUU”!

$
0
0
Juzi (Nov 20) Nay wa Mitego ametoa wimbo wake mpya unaoitwa ‘Nakula Ujana, ni wimbo ambao uko tofauti na nyimbo za Nay kutokana na mahadhi yake.

Peter Msechu
Msanii Peter Msechu ameonekana ‘kutoridhishwa’ na wimbo huo wa msanii mwenzake na kuamua kutoa mawazo yake kwa njia ya diss, hiki ndicho alichokiandika Instagram kuhusu wimbo huo,

ENDELEA KUSOMA STORY HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

“Unakula ujana au ujana unakukula wewe???? Utaimba hadi bolingo mwaka huuuuu….. kweli hiphop aiuziiiiii…… bado kidogo utakuwa dancer wangu MSECHU BAND….. GUYS GET READY TODAY JAMAAA ANAACHIA MDUARA@naytrueboy”. Hii ndio ilikuwa post ya Msechu.
Nay alikuwa mmoja wa watu waliocomment katika post hiyo, lakini alijibiwa na tusi kutoka kwa Msechu
“[ @ ] naytrueboy Hahahaahahaaaa rich rapper@msechu utatembelea bajaji mpaka ujute c ndo kiboko yenu tena wewe ndo unacndikiza”
Unahisi ni nini kinaendelea kati ya wawili hawa?
Usikilize hapa wimbo huo wa Nay Wa Mitego ‘Nakula Ujana’
 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>