Peter Okoye akiongea na waandishi wa habari
Kundi la P-Square la nchini Nigeria ambalo huundwa na mapacha Peter na Paul Okoye, leo limekutana na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano uliopo katika hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es Salaam kuzungumzia show yake ya Jumamosi hii Leaders Club.
Mkuu wa East Africa Radio, Nasser Kingu
Naye Mkuu wa East Africa Radio, Nasser Kingu alisema wakiwa kama waandaaji wa onesho hilo la kesho wamejipanga vilivyo kuhakikisha kunakuwa na usalama wa uhakika.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Kelvin Twissa akiongea na vyombo vya habari
“Kwa wasanii wa Tanzania hii ni nafasi yao kupata changamoto kuangalia kile ambacho ulimwengu wa muziki unachofanya, kuwa na vijana ambao ni Waafrika ambao wanavunja stage zote za dunia, wanavuka mipaka, ni kitu ambacho sisi tutakuwa tunafurahia sana,” alisema Twissa.
P-Square wakiwa kwenye picha ya pamoja na wasanii wengine wakiwemo Profesa Jay, Ben Pol na Joh Makini
P-Square wakiongea na wasanii wa nyumbani baada ya kuwasiliana kwenye mkutano na waandishi wa habari
Ben Pol na Profesa Jay