Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiaga mwili wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa, baada ya mazishi yake yaliyofanyika jana Machi 29-2014 Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro.
Makamu wa Rais akiweka udongo kwenye kaburi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka mchanga katika kaburi la aliyekuwa
Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa, kwenye mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Kilosa Machi 29, 2014.
Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa, kwenye mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Kilosa Machi 29, 2014.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa, baada ya mazishi Machi 29-2014 Wilayani Kilosa Mkoani yake yaliyofanyika Morogoro.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu, Kilosa, Machi 29, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimpa pole mjane wa aliyekuwa mkuu wamkoa wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa Mama Katherine Msamati baada ya mazishi yake yaliyofanyika jana Machi 29-2014 Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimpa pole Baba mzazi wa aliyekuwabmkuu wa mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa Mzee Gabriel Tupa, baada yamazishi yake yaliyofanyika jana Machi 29-2014 Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro. (Picha na OMR)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimfariji Mzee Gabriel Tupa baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu Kilosa Machi 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)