Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA ISHIRINI NA MOJA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 10, 2017.

$
0
0
 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Tulia Ackson akiongoza  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
 Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng,Stella Manyanya akijibu hoja Mbalimbali za Wabunge  katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
 Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Eng ,Gerson Lwenge akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akitoa hoja  bungeni kuhusu uchaguzi wa wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki utakaofanyika leo jioni  katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof,Palamagamba Kabudi  akizungumza jambo na Mbunge wa Arusha Mjini  Mhe.Godblesss Lema katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
 Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe.Mussa Azzan Zungu katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
 Mbunge wa Geita Vijijini Mhe. Joseph Kasheku Msukuma  akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
 Mbunge wa Kawe Mhe.Halima Mdee akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
 Mbunge wa Makambako (CCM) Mhe.Deo Sanga akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari  Ipala ya Mkoani Dodoma wakiwa Bungeni kwa ajili ya kujifunza shughuli mbalimbali za Bunge  katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017. 
 Kiongozi Mkuu wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai Mhe.Freeman Mbowe akiwa na Waziri kivuli wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Hamidu Bobali wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Greyson Lwenge katika  kikao cha ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
 Wabunge wakijadili jambo katika kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
 Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika kipindi cha maswali na majibu katika  kikao cha ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.

Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>