Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA LEO: SASA HUU UCHOKOZI

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DK.MOHAMMED GHARIB BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI...

Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilal akihutubia wakati akifungua mkutano huo.Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaban Lila (kulia) na  Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jaji mstaafu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME YA KUDHIBITI UKIMWI TANZANIA YATOA TAARIFA KUHUSU MWITIKIO DHIDI YA...

 Mratibu wa Mpango Maalumu wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Renatus Kihongo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMKO LA JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA KUHUSIANA NA MAANDAMANO YA CHADEMA...

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi wa Polisi EMMANUEL G. LUKULA (ACP) akiongea na Waandishi wa Habari ofisini kwake leo.Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMIS SEPTEMBER 18, 2014

 ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZILIZOCHEZWA JANA JUMATANO

ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI  Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAREMBO WANAOSHINDANIA TAJI LA MISS TANZANIA 2014 WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA...

Warembo 30 wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 jana walitembelea hifadhi ya taifa ya Mikumi mkoani Morogoro kujionea vivutio mbalimbali vya utalii viliovyopo katika hifadhi hiyo ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FILAMU KUTOKA PROIN PROMOTIONS LIMITED ZAFANIKIWA KUPITA MCHUJO WA KUONYESHWA...

Kava la Filamu ya KITENDAWILI iliyochezwa na Single Mtambalike au Rich Rich, Irene Veda na Haji Adam ambayo inasambazwa na Kampuni ya Proin Promotions LimitedKava la Filamu ya NETWORK iliyochezwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: BASI LA SHAKILA LATUMBUKIA MTO PANGANI MKOANI TANGA

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA UTALII NA MIAKA 4 YA BLOG YA VIJIMAMBO

Mhe. Lazoro Nyalandu Waziri wa Maliasili na Utalii akiingia ukumbini huku akiongozana na Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani kushoto ni Luke Joe ambaye ni mwendeshaji wa Blog ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAFUNZI AJIUA KWA SHUKA HOSPITALINI MKOANI KAGERA

KATIKA hali isiyotarajiwa, mwanafunzi wa Kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari ya Wavulana Ihungo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Ezra Gerald (19), amejinyonga hadi kufa kwa kutumia shuka ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSTAHIKI MEYA WA ILALA JERRY SILAA ASHUSHA NEEMA KWA SHULE YA MSINGI KIVULE‏‎

Meza kuu ikiwa imepambwa na viongozi mbalimbali kwaajili ya kupokea msaada wa madawatiMeya wa manispaa ya  Ilala Jerry silaa akabidhi msaada wa madawati mia moja katika shule ya msingi kivule iliyopo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: POLISI WAIMALISHA ULINZI MANISPAA YA DODOMA BAADA YA KUZIA MAANDAMANO...

 Jeshi la polisi limeimalisha ulinzi katika maeneo yote ambayo yalitajwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa ndiyo watapitia wakiandamana kwenda kwenda Bungeni kuanzia saa 4 asubuhi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GARI AINA YA TOYOTA LAV4 L INAUZWA

 Gari inauzwa kwa bei nzuri tu na ipo Dar kwa atakayeipenda tuwasiliane kupitia mawasiliano hapo chiniSPECIFICATIONS ZA GARI HIYO NIMAKER: TOYOTAMODEL: LAV4 LYoM:      2005CC:       1800Odo:   81,993...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GARI AINA YA TOYOTA VEROSSA INAUZWA

  Gari inauzwa kwa bei nzuri tu na ipo Dar kwa atakayeipenda tuwasiliane kupitia mawasiliano hapo chiniSPECIFICATIONS ZA GARI HIYO NIMAKER: TOYOTAMODEL: VEROSSAYoM:      2001CC:       1980Odo:...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMBUA KWAMBA UNAPOWEZA KUJIBU SWALI KWANINI NI MWANZO WA KUJUA VITU VINGI

Ninafikiri watu wengi tumewahi kukutana na swali, kwanini unafanyi hivi au vile? Na hata kwenye filamu moja ya marehemu Kanumba aliigiza filamu inaitwa , Why? Hilo ni swali lile lile katika mtizamo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSIKITI WA HINDU ULIOPO MTAA WA KIBASILA JIJINI DAR WATEKETEA KWA MOTO

 Kikosi cha zima moto kikifanya juhudi za kuzima moto huo.MSIKITI wa madhehebu ya Wahindu uliopo maeneo ya Mtaa wa Kibasila karibu na shule ya Olimpia jijini Dar es Salaam, umeteketea kwa moto leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOANI DODOMA BAADA YA KUDHIBITI MAANDAMANO YA...

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi wa Polisi EMMANUEL G. LUKULA (ACP) akiongea na waandishi wa habari. Askari Polisi wakiwa katika ulinzi kudhibiti maandamano.ENDELEA KUSOMA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMKO LA ASASI ZA KIRAIA KUHUSU MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA WA MABADILIKO YA...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira, Dr. Eng. Binilith Mahenge(katikati) akiwa na Viongozi wa Forum CC, kutoka kulia ni Oscar Munga, Mjumbe wa bodi ya wadhamini ya ForumCC, Vera Mugita,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AFANYA ZIARA KISARAWE

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi wa UWT wa wilaya ya Kisarawe mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za CCM wilaya ya Kisarawe. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>