Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akijibu Hoja za Wabunge kabla ya Bunge kukaa na kupiga kura kuamua Bajeti ya serikali kwa Mwaka 2014-015.
Wabunge wakimsikiliza Waziri wa fedha Mhe Saada wakati akijibu hoja za waheshimiwa Wabunge kabla ya zoezi la kupiga kura kwa ajili ya kupitisha Bajeti ya serikali kwa mwaka 2014-2015.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Spika wa Bunge akiendesha kikao cha Bunge la Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2014-2015 akisaidiwa na Makatibu wa Bunge mbele yake wakati waziri wa Fedha akijibu hoja za wabunge.
Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya (aliye vaa kilemba) akitoka katika ukumdi wa Bunge akiongozana na Naibu waziri, mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Serikali kwea mwaka 2014-2015 kwa zaidi ya kura miambili.
Maofisa wa wizara ya Fedha wakiwapongeza Mawaziri wa Wizara yao mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya mwaka Serikali kwa Mwaka wa fedha 2014-2015.Na Deusdedit Moshi Mtendaji Mkuu wa Phpoto Solutions wawa kilishi wa Nichuzi Blog kanda ya Kati.