Polisi mkoani Iringa wakiwa wameuzua msafara wa mgombea ubunge jimbo la Kalenga, Bi Grace Tendega kupitia Chadema kwa madai hawakuwa na kibali cha kufanya maandamano hayo ya magari hapa ni eneo la lango la mji Samora ambapo msafara huo ulikuwa ukitokea maeneo la Ndiuka kuelekea kwa msimamizi wa uchaguzi ili kuchukua fomu.
Mgombea ubunge wa Chadema Kalenga, Grace Tendega baada ya kuruhusiwa gari lake kupita
ENDELEA KUTIZAMA TUKO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Hapa polisi wakimtazama mgombea huyo akipita mbele yao
Habari kamili itakujia hivi punde hapa endeleo kutembelea mtandao huuPICHA NA FRANCIS GODWIN