Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

HIVI NDIVYO VICHWA VITANO VYA HABARI VILIVYOTIKISA KWENYE MAGAZETI LEO YA TANZANIA

$
0
0
1.Namba moja ni kutoka kwenye gazeti la MTAZANIA ambalo kichwa chake cha habari kinasema kuwa "Kila mjumbe Bunge la Katiba kuvuna mil. 21/=" kiukweli sidhani kama kuna ukweli ndani yake maana hizi ni pesa nyingi sana wakati kuna sehemu nyingi za nchi wanakosa chakula.
 2. Namba mbili imeshikiliwa na gazeti la NIPASHE linalosema " Vikumbo uenyekiti Bunge la Katiba" kiukweli kwa katiba ya hii ya Tazania inatakiwa kuwe na Spika wa Bunge ambaye ni makini maana hapa anaweza kupelekea ikatokea katiba mzuri au mbaya kwani inategemea Spika huyo anamtazamo upi kama ni wa kichama au ni mzalendo.
 

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 3. Habari iliyoshika namba tatu ni gazeti la TANZANIA DAIMA lenye kichwa cha habari kinachosema "Dr. Slaa: JK ameliingiza taifa vitani" Sijajua gazeti ili linamtazamo/ mwono wa nchi hii au ndo siasa za Tanzania?
 4. Namba nne ya leo imeshikwa na gazeti la HABARI LEO linalosema "Maswali magumu Bunge la Katiba" na ukiangalia yataanzia kwenye haki za raia wa Tanganyika, na suala la muungano ni suala nyeti sana katika bunge la katiba kikubwa ni kusubilia kujua ni kitu gani kitakachoendelea katika bunge hili la katiba.
 5. Namba tano imeshikiliwa na gazeti la MWANANCHI na kichwa cha habari kinasema MEMBE: TULIKAANGWA sasa hapa tuchukue la nani maana Mh. Membe anasema wameulizwa maswali magumu wakati juzi wakiojiwa vigogo wa CCM walisema hawajahojiwa bali walikuwa wanatoa ushuri na pia maoni yao kuhusu kuanza kufanya


Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>