Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

KANISA LA KKKT USHIRIKA WA ARUSHA ROAD LAJENGWA KWA NGUVU YA WAUMINI

$
0
0
 
Pasta Komba Punda wa Yesu wa kanisa la Milima wa Moto Asembless of God sabasaba Dodoma akitoa ufafanuzi wa jambo alipokuwa akihubiri katika kanisa la KKKT usharika wa Arusha road alipoalikwa kufundisha Nguvu iliyopo katika Sadaka.
 Hili ndilo kanisa la KKKT Ushirika wa Arusha Road lililoko mkoani Dodoma lililojengwa kwa nguvu/sadaka za waumini.
 Pasta Komba Punda wa Yesu mwenye suti nyeusi akiwa na watumishi wa kanisa la KKKT Arusha Road wazee wa kanisa Iman Mzava, Justina Miale na Muinjilisti Josephu Ghula wakiwa nje ya kanisa hilo baada ya kumaliza ibada ya jumapili ya jana.

 ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
 
 
 Waumini wa kanisa la kiinjili la kiluther Tanzania (KKKT) wakifuatilia kwa karibu mafundisho  kuhusu nguvu ya sadaka yaliyotolewa na Pasta Komba Punda wa yesu kwenye ibada ya leo jumapili asubuhi.




Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>