Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao cha viongozi wa dini cha mashauriano kilichofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao cha mashauriano cha viongozi wa dini kilichofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifafa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari jana. Kulia ni ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam , Alhad Salum Musa.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa viongozi wa dini wa mashauriano uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Asha Rose Migiro katika mkutano wa mashauriano wa viongozi wa dini uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere mjini Dar es salaam jana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini baada ya kuzungumza katika mkutano wao wa mashauriano uliofanyika kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini mara baada ya umalizika kwa kikao chao kilichofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifafa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari jana.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)