Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA TRANSASIA YAUWA WATU 31 NA WENGINE KUJERUHIWA

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

 Ndege ya shirika la ndege la TransAsia, iliyoanguka kwenye mto karibu na mji mkuu wa Taipei nchini Taiwani baada ya kugonga daraja muda mfupi baada ya kuruka, imeuwa watu wapatao 19.
 Ndege hiyo inayofanya safari za ndani ilianguka ikiwa na abiria 58, na idadi kadhaa ya watu wameripotiwa kujeruhiwa.

Shirika la habari la Taiwani la CNC limeonyesha picha ya ndege ikiwa imezama sehemu kubwa kwenye mto Keelung, huku waokoaji wakifanya juhudi ya kuwaokoa watu waliokwama ndani.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
   Mmoja wa majeruhi akisaidiwa na waokoaji
 Waokoaji wakiwa kazini 
Waokoaji wakiwa wamebeba mwili wa abiria aliyekuwa kwenye ndege hiyo
Mabaki ya ndege ya shirika la ndege la TransAsia yakitolewa kwenye mto. Picha: Yahoo


Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles