Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AKUTANA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA UJERUMANI

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu. 


Katibu wa Nchi kutoka Wizara  inayohusika na Masuala ya Uchumi na Nishati ya  Ujerumani  Mattias Machnig (kulia) akisisitiza jambo katika kikao kilichokutanisha  ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini Ujerumani na  Naibu  Waziri wa Nishati na Madini Charles Kitwanga kwa ajili ya kujifunza fursa za uwekezaji katika sekta za nishati na madini nchini.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Charles Kitwanga na Kaimu  Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava pamoja na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini Ujerumani  wakifuatilia kwa makini maelezo  yaliyokuwa yanatolewa na Kamishna Msaidizi wa Nishati anayeshughulikia masuala  ya umeme, Mhandisi Innocent Luoga ( aliyekaa mbele wa kwanza kushoto) juu ya  fursa za uwekezaji katika  sekta ndogo ya umeme.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>