Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mhandisi Emmanuel Manirabona akiwaeleza wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini katika kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichopo kipawa jijini Dar es Salaam wakatialipowatembeza wandishi wa habari kuangalia wizi uliotokea wa nyaya leo
Akiwaonyeshea wandishiwa habari moja ya nyaya ambazo zilizokatwa na wanaodaiwa kuwa wezi waliofika katika kituo hicho na kufanya uharibifu.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Wafanyakazi wa kituo cha kusafirishia na,Changome kupelekea umeme katika maeneo ya Changome ,Buguruni ,Tandika wakiwa kazini
Enginia Emmanuel Manirabona akiwa kati eneo la kipawa akionyesha kwa wandishi wa habari sehem mbalimbali za kituo cha kipawa
Enginia Emmanuel Manirabona afisa usafirishaji akitoka katika chumba cha kuhifadhia mitambo ya umeme iliyopo chini katika kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichopo kipawa jijini Dar es Salaam wakatialipowatembeza wandishi wa habari kuangalia wizi uliotokea wa nyaya leo.
CHANZO: MICHUZI BLOG
CHANZO: MICHUZI BLOG