Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Wasamaria wema wakinasua dereva wa gari ndogo
Ajali hii imehusisha basi la abiria la Meridiani pamoja na gari ndogo binafsi. Dereva wa gari binafsi amenusurika kifo baada ya gari yake kuharibika vibaya.
CHANZO: KALUNDE BLOG
CHANZO: KALUNDE BLOG