Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

MAKAMU WA RAIS AZINDUA KAMPENI YA CHUKUA HATUA 2015

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni ya chukua hatua 2015 yenye lengo la kutathmini matokeo ya Milenia ambayo yanafikia ukomo wake Septemba mwaka huu na hivyo kuwa mwanzo wa kupanga malengo mapya baada ya hayo. Uzinduzi huo uliambatana na Vijana wa Kitanzania waliozaliwa mwaka 2000 ambao hivi sasa wana miaka 15 wakielezea nini wangetaka kuona kiafanyika Tanzania kwa miaka 15 ijayo.
 Washiriki.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Profesional Approach Development, Lilian Madeje akifafanua jambo wakati wa uzinduzi huo.
Wanafunzi wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi.
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal akipeana mkono vijana walioshiriki kwenye uzinduzi wa kampeni ya Chukua hatua 2015 uliofanyika jijini Dar es Salaam juzi, ambapo  lengo lake kutathmini matokeo ya Milenia ambayo yanafikia ukomo wake Septemba mwaka huu.
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal akipeana mkono vijana walioshiriki kwenye uzinduzi wa kampeni ya Chukua hatua 2015 uliofanyika jijini Dar es Salaam juzi, ambapo  lengo lake kutathmini matokeo ya Milenia ambayo yanafikia ukomo wake Septemba mwaka huu. (Picha na Francis Dande)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles