Askari polisi wakitoa nyumbani kwa mbunge Filikunjombe mjini Ludewa leo kuungana na wananchi kuomboleza.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Rafiki mkubwa wa mbunge Filikunjombe Bw Tonny kutoa Marekani kulia akiwa na wanafunzi wasomi wa elimu ya juu katika msiba kutoka kushoto Basilius Kayombo na Stanley Mkolwe ambao wanawakilisha umoja wa wana Ludewa wanaosoma vyuo vikuu ambapo Mbunge Filikunjombe ni mlezi wao.
Mbunge Filikunjombe kushoto akiwa na rafiki yake wakipata msosi.
Wananchi wa Ludewa wakimiminika nyumbani kwa mbunge Filikunjombe kushiriki maombolezo.
Msemaji upande wa Familia ya Filikunjombe mwalimu Dominic Haule akitambulisha msafara.
Rafiki mkubwa wa Filikunjombe mbunge wa jimbo la Mwibara Kang Lugola akisalimia.