$ 0 0 Watu 12 wamejeruhiwa baada ya mlipuko wa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu, kutokea katika bar ya Arusha night park, walipokuwa wakiangalia mpira usiku huu. Uchunguzi unaendelea. Na habari kamili itawaijia hivi pundeCHANZAO: EATV