MAGAZETI YA LEO IJUMAA APRIL 27, 2018
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleSHEREHE YA MCHAPALO YA MUUNGANO YAFANA WASHINGTON, DC
Mapokezi wakihakikisha kila mgeni anapokelewa vizuri na kwa ukarimu kwenye mchapalo wa kusherehekea sikukuu ya miaka 54 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika siku ya Alhamisi April 26,...
View ArticleMADHARA YA MATUMIZI MABAYA YA STEROIDS ZA KUPAKA KWENYE NGOZI.
Dawa za kupaka zenye steroidi ni zile zenye kutibu magonjwa ya ngozi kukakamaa na kuwa kavu (kwa kitaalam eczema), pia aina nyinginezo za magonjwa ya ngozi yasiyo ya uambukizi. Kama zilivyo dawa...
View ArticleMwenyekiti wa Bavicha Mbeya akamatwa
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) Mkoa wa Mbeya, George Titho amekamatwa na polisi usiku wa manane nyumbani kwake kijijini Kyimo wilayani Rungwe.Hata hivyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
View ArticleMajonzi Yatawala, Kuagwa Kwa Mwili Wa Mtoto Aliyechomwa Kisu Na Dada Yake
Mtotro Joshua Michael (2) aliyeuawa na dada yake Delta Kalambo (19) kwa kuchomwa kisu kwenye kitovu na mwili wake kufichwa uvunguni unazikwa leo Sengerema mkoani Mwanza.Simanzi ilitawala watu...
View ArticleBoti Yapinduka Ziwa Victoria na Kuua Wawili
Watu wawili wamefariki dunia baada ya boti waliyokuwa wakitumia kusafiria kupinduka. Ilipokumbwa na dhoruba kali katika ziwa Victoria, Sengerema jijini Mwanza.Akizungumza kuthibitisha kutokea kwa...
View ArticleUfunguzi rasmi wa maonesho ya kipekee ya bidhaa za viwanda vya Tanzania...
Waziri wa Kilimo na Umwagiliaji wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Mwangi Kiunjuri akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa wiki ya Tanzania nchini Kenya ambayo imeambatana na maonesho ya huduma, vivutio vya...
View ArticleCSI yatoa msaada wa vifaa tiba kwa wakina mama wajawazito hospitali ya Mnazi...
Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Childbirth Survival International (CSI), Stella Mpanda(wa kwanza kulia) akikabidhi msaada wa vifaa vya akina mama wajawazito kwa Dk. Fillo Hyera (wa tatu kushoto)...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI BARABARA YA DODOMA-BABATI ILIYOKAMILIKA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina, Balozi wa Japan hapa nchini...
View ArticleSerikali kuvifungia vyuo vikuu visivyozingatia kanuni
Serikali imesema itaendelea kuvifuatilia na kuvifungia vyuo vikuu vinavyotoa elimu bila kuzingatia miongozo, kanuni na sheria zilizowekwa.Kauli hiyo imetolewa leo Aprili 27, 2018 na Naibu Waziri wa...
View ArticleAliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Kandoro amefariki dunia
Habari zilizotufikia hivi ni kwamba Mkuu wa mkoa mstaafu Mzee Abbas kandoro amefariki dunia usiku huu wa Ijumaa Aprili 27,2018 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es salaam alikolazwa kwa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 28, 2018
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleCCM yakomba safu nzima ya uongozi Chadema
Mbunge wa Jimbo la Kondoa Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ediwn Sanda amesema kuwa safu ya uongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye jimbo hilo wamehamia CCM...
View ArticleMFUMO WA MAISHA NDIO SABABU KUBWA YA KUMALIZA NGUVU ZA KIUME
Dunia ya sasa ina maisha magumu sana, watu wako bize usiku na mchana wanatafuta ridhiki zao lakini ubize huu na maisha haya usipokua makini yatakuharibia maisha yako ya kijamii, hata kama unapata pesa...
View ArticleZungu amtaka Mwakyembe kutaja sababu za kufungiwa wimbo wa ‘mwanaume mashine’
Mbunge wa jimbo la Ilala Mhe. Mussa Azzan Zungu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemtaka Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe aje na...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI APRIL 29, 2018
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleKIGOMA WAOMBWA KUICHANGIA TIMU YA WANAWAKE YA MKOA HUO ILI IFANYE VEMA
Mwakilishi UWT vijana Mkoa wa Kigoma, Miriam Ntakisivya akikabidhi msaada kwa Capten wa timu ya Kigoma Sisters, Sophia Mwasikili kwa ajili ya kuendeleza mpira wa miguu kwa wanawake wa Mkoa wa Kigoma....
View ArticleChanzo na suluhisho la ugumba kwa wanaume
CHANZO NA SULUHISHO LA UGUMBA KWA WANAUMEWatu wengi hudhani kama mwanamke hapati ujauzito basi tatizo na lawama zote zitakuwa ni upande wa mwanamke, lakini hilo si lazima mara zote liwe hivyo. Kuna...
View ArticleRAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA IRINGA-DODOMA KATIKA SEHEMU YA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwakilishi wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Jeremy Aguma wa pili kutoka kulia wakivuta utepe kwenye...
View ArticleMWENDESHA BODABODA KUTOKA KIBITI AJINYAKULIA MILIONI 140 ZA TATU MZUKA
Pichani kulia ni Muendesha boda boda Magembe Daniel akiwa na Mama yake Mzazi Mama Magembe,wakiwa wameshika mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 140 baada ya kuibuka mshindi wa mchezo wa...
View Article