MSANII DIAMOND KUTOA BURUDANI KOMBE LA DUNIA 2018 NCHINI URUSI
 Msanii Diamond akiongea katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es alaam (katikati) ni Sealouise Shayo, Meneja wa Chapa ya Coca-Cola nchini (kulia) ni Meneja wake Sallam SK.  Msanii Diamond...
View ArticlePUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA MAFUNZO MAALUM YA USALAMA BARABARANI KWA...
Meneja Mkuu wa Puma Tanzania, Philippe Corsaletti akizungumza kuhusu wanavoshiriki na kufanikisha mafunzo ya usalama barabarani kwa wanafunzi wa shule za msingi hapa nchini ambapo kwa mwaka huu watatoa...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) KATIKA UKUMBI WA...
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride lililoandaliwa na Jeshi la Polisi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kuhutubia Bunge la...
View ArticleMAFUNDI MITAMBO REDIO 25 ZA KIJAMII WATEMBELEA SHIRIKA LA UTANGAZAJI TBC...
Principle Engener kutoka TBC, Noel Mtenga akitoa ufafanuzi kuhusu gari la kurushia matangazo la TBC 1 linavyofanya kazi wakati wa mafunzo kwa vitendo kwa mafundi mitambo kutoka redio jamii 25 zilizopo...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO APRIL 25, 2018
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleRAIS DKT.MAGUFULI ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO UHURU WA HABARI...
Mwenyekiti wa MISA Tanzania Bi. Salome Kitomari akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya maadhimisho ya uhuru wa habari Nchini ambayo kitaifa yatafanyika Mkoani Dodoma Mei 2 hadi 3...
View ArticleHow nuclear technologies helped Zanzibar to improve rice quality
Though economic development in Zanzibar has been associated with tourism, agriculture contributes greatly to the Islands' economy and food security. In Zanzibar agriculture is the main source of income...
View ArticleFAHAMU ZAIDI KUHUSU UGONJWA WA KIHARUSI (STROKE), DALILI NA MATIBABU YAKE
               Stroke Ni Nini?Stroke au kiharusi ni tatizo linalotokea ghafla kwenye ubongo ambapo mtiririko wa damu kwenye eneo fulani la ubongo husitishwa ghafla au kupungua sana hivyo...
View ArticleMALARIA YAPUNGUA MPAKA ASILIMIA 7. 3 NCHINI.
Waziri wa Afya Maendeleo ya jamii Jinsia wazee na watoto Ummy Mwalimu akionyesha rasmi Matokeo ya Utafiti wa Viashiria vya Malaria kwa Mwaka 2017 hapa nchini baada ya kuzindua wakati wa maadhimisho ya...
View ArticleKITENGO CHA MAGONJWA YA DHARURA MUHAS WAZINDUA KITABU KWA AJILI YA KUFUNDISHIA
Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Andrea Barnabas Pembe akizindua kitabu kwa ajili ya kuwafundishia wanafunzi wanaosoma mwaka wa nne katika fani ya...
View ArticleKIVULINI YAKUTANA NA WANA MABADILIKO NA WADAU WA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Shirika la Kivulini limeendesha vikao vya tathmini na mipango mikakati ya utekelezaji wa mradi wa Usawa wa Kijinsia kiuchumi kwa wanawake na vijana unaotekelezwa katika halmashauri ya wilaya ya...
View ArticleRAIS DK.SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA LEO
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge mara alipowasili katika Uwanja wa...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Waziri , Ofisi ya Rais TAMISEMI, Josephat Kandege, bungeni mjini Dodoma, Aprili 25, 2018.  aziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana,...
View ArticleUNESCO yafunga mafuzo ya Mafundi Mitambo wa Radio za jamii 25
Kaimu Mkuu wa Ofisi za Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Faith Shayo akizungumza kuhusu UNESCO inavyoshiriki moja kwa moja kwenye jamii hasa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMISI APRIL 26, 2018
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleUFAHAMU UGONJWA WA PRESHA YA MACHO (GLAUCOMA), DALILI NA MATIBABU YAKE
Glaucoma ni nini?hili ni ongezeko la presha ya macho, kimsingi macho hua yana presha ya 10mmhg mpaka 21mmhg lakini inapozidi hapo mgonjwa hutambulika kama mgonjwa wa presha ya macho.mara nyingi ugonjwa...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWAONGOZA MAELFU YA WATANZANIA KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 54...
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama wakati akipigiwa wimbo wa Taifa kabla ya kwenda kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa...
View ArticleAfDB YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA NISHATI YA UMEME INAYOFADHILIWA...
 Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina mara baada ya kuwasili mjini Dodoma ambapo alitembelea na kukagua mradi wa...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA BENKI YA...
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina mara baada ya kuwasili mjini Dodoma kwa ajili ya...
View ArticleSTEVE NYERERE AMTANGAZIA NEEMA MZEE MAJUTO KWA MATIBABU NCHINI INDIA
Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza Steve Mengele 'Steve Nyerere' akimsalimia Mzee Majuto ambaye amelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza Steve Mengele 'Steve...
View Article