Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

GEEZ MABOVU ALAZWA KWENYE HOSPITALI YA MKOA WA IRINGA NA HALI YAKE SI NZURI

$
0
0

Rapper Geez Mabovu anahitaji maombi. Hitmaker huyo wa Mtoto wa Kiume jana alizidiwa ghafla kabla ya show ya Iringa kwenye ukumbi wa Twista Night Club alikokuwa atumbuiza na rappers wengine wakiwemo Wakazi, Songa, Jan B na Chidi Benz.
“Tatizo bado halijajulikana ila alizidiwa kabla ya show na tukampeleka hospitali ya mkoa ambako bado amelazwa huko na hali yake si nzuri,” Songa ameuambia mtandao huu.
Naye Wakazi ametweet: On a serious note lets pray for GEEZ MABOVU.

CHANZO: BONGO 5

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles