Ajali hii imetokea muda huu ikihusisha lori kubwa na gari ndogo.Namba za gari hazikuweza kupatikana,maana gari ndogo imechakaa vibaya mno na mvua inanyesha kubwa sana.. Police ndio wamefika kuchukua majerui na miili ya marehemu.
Endelea kutufuatilia tutakupatia habari kamili