Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

WAFANYABIASHARA ZAIDI YA 400 TOKA MIKOA MBALIMBALI HAPA NCHINI WAKUTANA MKOANI DODOMA

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


  Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Bw. Johnson Minja akizungumza na wafanyabiashara waliowakilisha wenzao toka mikoa yote nchini ambao walifika mjini Dodoma kwa ajili ya kumtia nguvu mwenyekiti huyo kutokana na kesi inayomkabili katika mahakama ya wilaya ya Dodoma.
Wajumbe wa Halmashauri kuu wa Jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania (JWT) wakiwa katika ukumbi wa Mambo Poa mjini Dopdoma walipokutana kwa ajili ya kikao chao kilichoshirikisha viongozi wa mikoa yote nchini huku wakiwa wamevalia Tshert zinye ujumbe unaosomeka MINJA KWANZA BIASHARA BAADAE.
 Wafanyabiashara zaidi ya 400 toka mikoa mbalimbali wakifuatilia jambo kwenye mkutano wao uliofanyika kwenye ukumbi wa kituo cha vijana cha Mambo Poa mjini Dodoma walipokuwa wamekusanyika kwa ajili ya kufahamiana na kupanga mikakati ya kuendeleza Jumuiya ya wafanyabiashara wao.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles