Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAZUNGUMZA NA VIONGOZI WA SIASA LEO

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 
 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akizungumza wakati wa mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa JB Belmonte, Jijini Dar es salaam.Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Julius Malaba na kulia ni Kamishina wa Tume yaTaifa ya Uchaguzi, Prof. Amon Challigha.Picha na Emmanuel Massaka
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi akichangia mada katika mkutano huo wa Viongozi wa Vyama vya Siasa uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa JB Belmonte, Jijini Dar es salaam.


ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Sehemu ya Viongozi wa Vyama vya Siasa waliohudhulia Mkutano huo wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva (hayupo pichani) leo kwenye Ukumbi wa JB Belmonte, Jijini Dar es salaam.

CHANZO: MICHUZI BLOG

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>