Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Fatma Ally akizungumza na wanawake waliokuwa wamekusanyika katika viwanja vya Nyerere Square kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa Saratani ya Matiti unaofanyika kwa siku 5 chini ya wataaramu wa magonjwa ya kina mama toka Ocen Road Dar es laam.
Mlezi wa Umoja wa Wanawake Tanzania [UWT] Haidaly Guramali akiwa pamoja na wataramu wa Magonjwa ya wanawake wa Ocen Road waliopo mjini Dodoma kwa ajili ya kuwafanyia uchunguzi wa Saratani ya Matiti wanawake zaidi ya 1500 unaofanyikia eneo la Nyerere Square kwa siku 5.
Mlezi wa UWT Haidaly Guramali akisalimiana na mmoja wa wanawake waliofika kufanyiwa uchunguzi wa Saratani YA Matiti katika viwanja vya Nyerere Square.
Wanawake wakazi wa manispaa ya Dodoma wakiwa Nyerere Square wakisubili kupatiwa uchunguzi wa saratani ya matiti chini ya wataaramu wa magonjwa ya wanawake toka Ocen Road ambapo upimaji huo utafanyika kwa siku 5.
Ufafanuzi ukitolewa kwa mkuu wa wilaya